AIBU NYINGINE!!! KEYNES DONS YAICHAKAZA 4 – 0 MAN UNITED

 

Straika wa Milton Keynes Dons, Will Grigg akishangilia baada ya kutikisa nyavu za United

Straika wa Milton Keynes Dons, Will Grigg akishangilia baada ya kutikisa nyavu za United

Matokeo mabaya yameendelea kuwatafuna Mashetani wekundu baada ya kukubali kipigo cha aibu cha mabao 4 – 0 kutoka kwa Milton Keynes Dons hapo jana(Agosti26) katika michuano ya kuwania kombe la Capital One.

Mtanange huo ulionekana kuwaelemea United chini ya kocha mkuu Louis Van Gaal na kujikuta wakiruhusu mvua  ya magoli langoni mwao kupitia William Grigg na Benik Afobe wote wa Keynes  waliofunga magoli mawili kila mmoja.

Cheki Hapo Chini Mambo yalivyokuwa na  bila kusahau utani wa mashabiki wenza mitandaoni. Mwaka huu Van Gaal kazi anayo.

1409117456074_wps_2_image001_png

1409117438642_wps_1_image001_png  1409117487148_wps_3_image001_png 1409117493171_wps_4_image001_png 1409117532007_wps_6_image001_png 1409130408801_wps_1_Moyes_png 1409130456468_wps_2_Ronaldo_png 1409133720732_wps_1_virals_banner_psd 1409133748018_wps_3_1_jpg 1409133794398_wps_4_3_jpg 1409133798243_wps_5_mufc2_jpg

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s