LIVERPOOL YAKAMILISHA USAJILI WA BALOTELLI, APEWA JEZI NAMBARI 45

Mario BalotelliMajogoo wa jiji la London, Liverpool wametangaza rasmi kukamilisha taratibu za kumsajili mpachika mabao mtukutu ‘Mario Balotelli kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 16 akitokea Ac Milan ya Italia.

Balotelli ameichezea  Milan  kwa takribani mwaka mmoja na nusu akiwa amekwishaifungia mabao 30 katika michezo 54 aliyocheza.

”Nina furaha. Tumekuwa tukiongea kuhusu kuja hapa na kwa sasa nina furaha ya kuwa hapa” alisema Balotelli wakati wa mkutano na wandishi wa habari na kuongezea, ” Liverpool ni moja ya klabu nzuri England na wwachezaji ni wazuri hapa. Ni timu yenye wachezaji vijana, na ndio maana nimejiunga nao’‘.

Tofauti na ilivyotegemewa, Balotelli amepewa jezi nambari 45 atakayokuwa akiivaa katika kipindi hiki cha miaka mitatu atakachokuwepo Anifield.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s