KUNANI TENA, JENNIFER LOPEZ NA SERENGETI BOY WAKE???

casper_jlo_640Kama waswahili wasemavyo, ” Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine” lakini msemo huo umeonekana kutomwingia akilini mwanamama na mwanamuziki Jennifer Lopez baada ya kufumwa na kamera za CCTV usiku wa Jumapili(agosti24) wakati utoaji wa Tuzo za MTV VMA akiwa beneti na serengeti boy wake Casper Smart ambaye alimpiga chini miezi kadhaa iliyopita.

Casper Smart mwenye umri wa miaka 27 alionekana akimpatia J.Lo pipi za kuchangamsha mdomo wakati shoo ikiendelea, hata hivyo hakuna kati yao aliyethibitisha taarifa za kurudiana kwao.

Jennifer Lopez ambaye amemzidi  Casper Smart miaka 18, wamekuwa wakipika na kupakua kwa takribani miaka miwili na nusu kabla ya kuamua kumwagana mwezi wa sita mwaka huu. Haya Wacha Muvi Iendelee

 

 

 

Advertisements

One thought on “KUNANI TENA, JENNIFER LOPEZ NA SERENGETI BOY WAKE???

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s