2FACE IDIBIA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

2face Idibia

2face Idibia na Baba Yake

Hitmaker wa african Queen, 2Face idibia amepatwa na msiba mzito wa kumpoteza baba yake mzazi Mzee Michael Agbo Idibia aliyefariki Dunia Jumamosi ya Agosti 23 katika hospitali moja mjini Abuja nchini Nigeria baada ya kusumbuliwa kwa kipindi kirefu na saratani ya tezi dume maarufu kama Prostate Cancer.

Marehemu Idibia amezaliwa Julai 25 mwaka 1946 na kupata masomo yake katika chuo kikuu cha Kansas State nchini Marekani na baada ya hapo kufanya katika wizari ya kilimo nchini humo, ameacha mjane mmoja ‘Rose Owoyi Idibia’, watoto wanne ambao ni Steven Idibia, Innocent ‘2face’ Idibia, Hyacinth Idibia na Oche Idibia, wajukuu na kitukuu mmoja.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s