BEYONCE , JAY Z NA BINTI YAO WAFUNIKA TUZO ZA MTV VIDEO MUSIC AWARDS

Beyonce smiles with Jay-Z and daughter Ivy Blue after accepting the Video Vanguard Award on stage during the 2014 MTV Video Music Awards in InglewoodKama ulikuwa unasubiria au kuombea ndoa ya  Jay Z na  Beyonce kuvunjika basi unapaswa kutafuta kiti ukae kabisa kwani kwa tukio alilofanya hitmaker wa drunk in love  wakati wa utoaji wa Tuzo za MTV Video Music  awards hapo jana Agosti 24 huenda ikawa vigumu kwa wawili hao kupigana chini hasa kutokana na mahaba nikaushe wanayopeana kila kukicha.

Mbali na  kuchaguliwa kuwania vipengele vingi vya Tuzo hizo kuliko wasanii wengine sambamba na show ya nguvu aliyoangusha, Beyonce hakuwa mchoyo wa fadhila kuipandisha familia yake (mumewe Jay Z na binti yake Blue Ivy)  stejini na kisha  kusherekea ushindi wa Tuzo aliyopata ya ”Annual Video Vanguard”. Tazama Hapo chini Mambo yalivyokuwa.

Jigga na Bey

Beyonce alishindwa kuzuia hisia zake na kujikuta akitokwa machozi baada ya Jay Z na Binti yake Blue ivy kupanda kwa stejiCarter V

 

Mr na Mrs Carter kwa steji

Mr na Mrs Carter kwa steji

Beyonce katika picha na Tuzo zake

Beyonce katika pozi na Tuzo zake

 

article-2733506-20C5C1B900000578-23_634x591

Beyonce akifanya yake kwa steji

article-2733506-20C5C36100000578-329_634x817 article-2733506-20C5E0CF00000578-423_634x438 article-2733506-20C64D1700000578-187_634x421 Jay Z na Beyonce Show ya Bey

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s