RIHANNA, CHRIS BROWN WAKUTANA USO KWA USO

Hivi utajisikiaje kumuona zilipendwa wako akikushuhudia ukionyesha ufundi wako sehemu kama jukwaani au uwanjani? Basi unaambiwa hitmaker wa  Loyal, Chris Brown alijikuta akitazamwa na mpenzi wake wa zamani ‘Rihanna’ wakati wa mchezo wa mpira wa kikapu wa kuchangia mfuko uliopewa jina la Summer Classic Charity Basketball Game kwenye uwanja wa Barclays Center mjini New York Marekani Alhamisi ya Agosti 21 ulioshirikisha mastaa kadhaa nyota wa muziki na fani nyingine. Tazama Mambo Yalivyokuwa hapo chini…

 

Rihanna attends the Summer Classic Charity Basketball Game

Rihanna akifuatilia kwa makini mchezo

Chris Brown and Rihanna Attend Summer Classic Charity Basketball Game-Barclay Center, Brooklyn NY

Chris Brown akisalimia na dogo aliyekuwa amekaa zero distance na Rihanna

Rihanna watches ex boyfriend Chris Brown play charity basketball

Chris Brown dimbani huku kwa mbali akitupiwa jicho la wizi na zilipendwa wake BadgirlRiri

Rihanna watches ex boyfriend Chris Brown play charity basketball

Mashabiki Bhana!!! Bwana mdogo akipata uselfie na Rihanna

cb

Chris Brown playing in a Charity Basketball Match

chris Brown akionyesha mautundu yake uwanjani

Rihanna goes out to Finale Nightclub in NYC with Cara Delevingne

Baada ya mchezo kumalizika, Rihanna akijikongoja kwenye viunga vya klabu ya usiku ya Finale In The City na bishostito wake mwanamitindo Cara Delevingne

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s