NDOA YA NICK CANON NA MARIAH CAREY CHALI

Mariah Carey na Nick CanonWahenga wanasema hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho, upepo mchafu umeikumba ndoa ya mastaa nyota wa Marekani, Muigizaji Nick Canon na mama watoto wake mwanamuziki Mariah Carey baada ya kudaiwa kutoshea kitanda kimoja kwa takribani miezi mitatu.

Canon mwenye umri wa miaka 33 amethibitisha  kutetereka kwa ndoa yake iliyodumu kwa miaka 6 licha ya kubahatika kupata watoto wawili mapacha Morroccan Scott Cannon na Monroe Cannon miaka mitatu iliyopita.

Katika mahojiano na The Insider, Nick Canon alinukuliwa akisema “There is trouble in paradise. We have been living in separate houses for a few months.”  Huku Baadhi ya vyanzo vikidai kwamba chanzo cha mgogoro huo  ni michepuko ya staa wa Love Don’t cost a thing.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s