MADRID WAICHAKAZA BAO 3 – 1 TANZANIA ELEVEN MBELE YA RAIS KIKWETE

Mpaka Kuchee

Figo akipasua katika ya mabeki wa Tanzania, Shabani Ramadhani na Shedrack Nsajigwa

Wakongwe wa Real Madrid wakiongozwa na Luis Figo wameweza kuibuka wababe baada ya kuitembezea kichapo cha bao 3 – 1 Tanzania Eleven chini ya nahodha Boniface Mkwasa katika mtanage uliopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Mabao yote matatu ya Madrid yaliwekwa wavuni na Ruben De La Red wakati bao pekee la kufutia machozi kwa upande wa Tanzania likipatikana kwa njia ya kujifunga kupitia mchezaji wa Madrid  Roberto Rojas aliyekuwa akijaribu kuokoa.

Mgeni rasmi wa mchezo huo alikuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete ambaye aliwakabidhi kombe Madrid ikiwa ni ishara ya ushindi katika mchezo huo ulioandaliwa na kampuni ya TSN chini ya mkurugenzi wake Farouk Baghoza.

IMG_2838

Mchezaji wa Madrid, Ruben De La Red akiwatoka kwa ustadi Athumani China na Habib Konddo wa Tanzania Eleven

IMG_2465 IMG_2358

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s