SWAGA ZA ROMY JONES ZAWAPA KIGUGUMIZI MASHABIKI

Romy JonsDeejay maarufu na binamu wa mbongo Fleva Diamond Platnumz, Romy Jones aliwaacha njia panda mashabiki  baada ya kuzidisha swaga wakati alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika klabu 327 iliyoko Mikocheni Wikiendi iliyopita.

Kupitia mtandao wa Instagram baadhi ya Comment za mashabiki zilionekana kuhoji namna staa huyo alivyokuwa akivichezesha vidole vyake utasema anascratch cd.  Tazama hapo chini uone mambo yalivyokuwa…

@dimmarmahad Yoo dat nikka’s hand moves its awkward or maybe ni swaag lmfao

@wit_miquel ni shidah hivyo vidole sasa

@malkia_roca Hvyo vidole xaxa @rommyjones

@dmachilu Hivyo vidole vipi tena,, @romy

Advertisements

2 thoughts on “SWAGA ZA ROMY JONES ZAWAPA KIGUGUMIZI MASHABIKI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s