VIDEO YA NICKI MINAJ ‘ANACONDA’ YAWEKA REKODI MPYA VEVO

Nicki Minaj VevoVideo mpya ya Nicki Minaj ‘Anaconda’ iliyotoka Jumanne iliyopita imeweka rekodi mpya kupitia akaunti yake ya Vevo baada ya kutazamwa mara milioni 19.6 katika kipindi cha masaa 24 na kuivunjilia mbali rekodi iliyowekwa na mwanamuziki  Miley Cyrus kupitia video yake ya ‘Wrecking Ball’ ambayo ilitazamwa mara milioni 19.3.

Mpaka sasa Anaconda imeshatazamwa mara milioni 49 ikiwa ni katika kipindi cha siku nne tangu iachiwe kwenye mtandao wa Youtube, Kupitia ukurasa wao wa Twitter, Vevo waliandika‘MY #ANACONDA DON’T WANT NONE UNLESS YOU GOT VIEWS HUN: We have a new #24hrVevoRecord  at 19.6M for @NICKIMINAJ! . Itupie jicho hapo chini

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s