ATLETICO YATWAA SUPER CUP KWA KUIPA KICHAPO CHA BAO 1 – 0 MADRID

AM

Kikosi cha Atletico Madrid wakishangilia ushindi baada ya kukabidhiwa kombe lao

Wakiwa nyumbani, Kikosi cha Atletico Madrid kimeweza kutwaa kombe la Super Cup baada ya kuigalagaza Real Madrid kwa jumla ya ushindi wa mabao 2 – 1 ikiwa ni katika michezo miwli waliyocheza nyumbani na ugenini ambapo mchezo wa kwanza Atletico akiwa ugenini aliweza kulazimisha  sare ya 1 – 1 na  magwiji hao wa Hispania katika mtanange uliochezwa kwenye dimba la Santiago Bernabeu.

Goli pekee la Mario Mandzukic wa Atletico alilofunga dakika ya 2 kipindi cha kwanza liliweza kuipa timu yake ubingwa katika mchezo uliotawaliwa na kadi nyingi   za njano na moja nyekundu aliyopewa Luka Modric huku mshambuliaji hatari Christiano Ronaldo akishindwa kuonyesha cheche zake  na kuambulia kadi njano.

.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s