FIGO, KARAMBEU, SANZ WATUA JIJINI DAR KUVAANA NA TANZANIA ELEVEN JUMAMOSI AGOSTI 23

Magwiji wa Real Madrid, Luis Figo, Sanz na Karambeu wametua jijini Dar es salaam kwa ajili ya kukipiga na kikosi cha Tanzania Eleven katika mtanange utakaochezwa uwanja wa Taifa Jumamosi ya Agosti 23 mwaka huu.  Tazama Picha za mapokezi hapo chini.

figo tua dar

Figo na Sanz wakipewa muongozo na mratibu wa ziara hiyo Ssebo na afisa mkuu wa TSN , Mohammed mwenye miwani mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere

figo tua dar 1

Mkurugenzi mtendaji wa TSN, Farouk Baghoza, Figo, Sanz na Ssebo wakitoka nje ya viunga vya uwanja wa ndege

 

karembeu

Karambeu na Ssebo

 

1-IMG_1379

Pichani ni mkuu wa msafara wa Madrid nchini, Rayco Garcia

farough 3

Karambeu akimsikiliza kwa makini Farouk

figo na farouk baghoza 2

Mkurugenzi mtendaji wa TSN, Farouk akizungumza na waandishi huku Figo na Sanz wakisikiliza kwa makini katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es salaam

figo tua dar 2

Figo akihojiwa baada ya kutua jijini Dar, pembeni yake kulia ni Sanz na Boss wa TSN

karembeu na farough

Mkurugenzi wa TSN, Farouk akiteta jambo na Karambeu

figo na farouk baghoza

Julio, Sanz,Karambeu, Figo na Farouk Baghoza wakizungumza na waandishi

     

Figo na Kumwembe

Figo na Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti wakipata ukodaki

unnamed (1)

Mtangazaji wa EFM, Maulid Kitenge katika picha ya pamoja na Luis Figo

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s