MOTO WATEKETEZA MAKAO YA SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA

nff1

Pichani ni Jengo la Nigeria Football Federation likiteketea kwa moto

Moto mkubwa umeteketeza makao ya shirikisho la soka Nigeria(NFF) yaliyoko Abuja na hivyo kuwachukua zaidi ya saa mbili vikosi vya zimamoto wakishirikiana na vyombo vya Umma kuuzima moto huo.

Afisa mmoja wa kuzima moto anasema wanashuku chanzo cha moto huo ulitokana na hitlafu ya umeme huku katibu mkuu wa NFF, Bwana Mussa  anasema kuwa moto ulianzia ofisi ya muhasibu wa shirikisho hilo.

Mwenyekiti wa NFF Aminu Maigari anakumbwa na tuhuma za uongozi duni. Mkasa huo wa moto ni pigo kwa shirikisho hilo ambalo tayari linakabiliwa na mvutano wa uongozi uliopelekea kung’olewa madarakani kwa mwenyekiti huyo na kisha kurejeshwa.

nff2

Mashuhuda wakitazama jinsi jengo la NFF likiteketea kwa moto

nff3

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s