ASWEKWA LUPANGO BAADA YA KUKIRI KUFANYA MAPENZI NA MAITI 100

kenneth-Douglas-corpses

kenneth Douglas akiwa ameshikiliwa na polisi akisubiria kupandishwa kizimbani

Ama Kweli Duniani kuna Mambo, Mzee mmoja wa makamo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hamilton County mjini Ohio nchini marekani baada ya kukiri kufanya mapenzi na takribani maiti 100.

Kenneth Douglas mwenye umri wa miaka 60 ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye sehemu ya kuhifadhia maiti yaani  mortuary, aliiambia mahakama kuwa yeye alikuwa akivunja amri ya sita na maiti kwa takribani muongo mmoja na nusu, kuanzia mwaka 1976 mpaka  1992.

Douglas pia amekiri kuitumia vibaya miili ya wanawake wawili ambao waliuwawa kwa mateso.  ”Nilikuwa nikiwapandia juu yao na kisha kuvua suruali yangu” alisema Douglas na kuongezea kama siku ambayo nakuwa sijanywa, huwa sifanyi hiyo kitu .

Douglas alikamatwa baada ya mbegu zake za kiume kukutwa katika moja ya miili hiyo

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s