MCHUMBA WA FRENCH MONTANA ‘KHLOE KARDASHIAN’ AKATAA KUFUTA TATTOO YA ZILIPENDWA WAKE

Khloe-Kardashian-Lamar-Odom-Wedding-Anniversary-Exclusive-Photos-09271011-580x386Staa wa kipindi cha Televisheni cha Keeping Up With The Kardashian, Mrembo daraja la kwanza ‘Khloe Kardashian’ amekataa  kufuta Tattoo aliyochora kwenye mkono wake wa kulia inayosomeka LO ambao ni ufupisho wa jina la mtalaka wake Lamar Odom  licha ya ushauri aliopewa na  dada yake Kim Kardashian wa kuongeza neno VE ili iweze kuleta maana nyingine.

Khloe ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na Rapa mwenye asili ya Morocco French Montana, katika kipindi cha Keeping Up With The Kardashian alikaririwa akisema ‘Sitaki kuifuta. Napenda Tattoo za mkononi mwangu, lakini naweza nikabadili maneno”.

Awali Khloe alikuwa mke wa ndoa wa mcheza kikapu Lamar Odom kabla ya kuamua kutengana mwishoni mwa mwaka jana kwa kile kilichotajwa kuwa ni michepuko.

Tattoo ya Khloe aliyomtunuku zilipendwa wake

French Montana na Khloe

French Montana na Khloe

 

Lamar na Khloe Siku ya ndoa yao

Lamar na Khloe Siku ya ndoa yao

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s