PROFESSOR JAY AONYESHA JUERI YA PESA KWENYE UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE MPYA YA ”TATU CHAFU”

 Gwiji wa Muziki wa Hip Hop hapa chini, Professor Jay ameonyesha jeuri ya fedha baada ya kutumia magari na sehemu za kifahari kama vile Casino katika zoezi la kushoot Video yake mpya ya Tatu Chafu ambayo inaongozwa na Hefemi Studios.

Tatu Chafu inakuwa ni video ya pili kwa Professor Jay  ukiacha kipi sijasikia ambayo  haijatoka.   Bado haijafahamika ni video ipi itakuwa ya kwanza kuachiwa kati ya video hizo mbili au huenda akaamua kuwasapraiz mashabiki kama vile alivyofanya Alikiba. Tazama Hapo Chini

Prof Jay

12226_10152630701652558_6524315326118003335_n

a2 a1 10615415_10152630696992558_7768561116535309409_n

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s