MAULIDI KITENGE ABWAGA MANYANGA RADIO ONE

Mau Kitenge

Maulid Kitenge

Mtangazaji mkongwe wa habari za michezo wa Radio One na ITV, Maulid Baraka Wa Kitenge ameiandika kampuni yake hiyo  barua ya kujiuzulu  nafasi ya utangazaji wa habari za michezo ikiwa ni baada ya kuitumikia   kwa takribani miaka 14.

Ahsante sana kwa Radio One! Leo nimefikia mwisho wa utumishi wangu wa miaka 14 ndani ya kituo cha Radio One. Kituo ambacho kimenijenga na kunikuza, lakini sasa naenda kukabiliana na changamoto nyingine kwengine. Ahsanteni sana Radio One. Aliandika Kitenge kwenye ukurasa wake wa Instagram

Kitenge

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s