MTITU ATANGAZA KUJIVUA RASMI UONGOZI BONGO MOVIE

Mtitu

William Mtitu

Kwa kulinda heshima yake,  Msanii wa Filamu, Muongozaji na Mkurugenzi wa kampuni ya 5Effects, William Mtitu ameamua kujivua rasmi nafasi ya  uongozi ndani ya klabu ya Bongo Movie baada ya kutopendezwa na mwenendo mzima wa klabu hiyo na kudai imekuwa ni sehemu ya baadhi yao kujipatia mkate wa kila siku kwa kutumia jina la klabu hiyo isitoshe haoni kama wanaeleka popote.

Mtitu aliyekuwa katibu mkuu wa Bongo Movie ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram ”Kwa kulinda heshima yangu binafsi nayakampuni yangu nimeona mimi kama MTITU nijivue rasmi leo nafasi ya uongozi na nitabaki kuwa kama mwanachama wa kawaida wa CLUB ya bongo movie sababu kiukweli SIPENDEZWI kwa asilimia kubwa na jinsi club inavyoendeshwa na sioni kama tunaelekea popote badala yake club imekuwa ni sehemu ya baadhi yetu kujipatia mkate wa kila siku kwa kutumia JINA LA CLUB …kitu ambacho SIKUBALIANi NACHO. Na ikumbukwe sina ugomvi wala chuki na mtu yeyote ndani ya bongo movie…. Wacha maisha yaendelea kama zamani.. Nawatakia wèek end njema… @all 16.08.2014”.

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s