LIVERPOOL AANZA VIZURI, AMTUNGUA 2 – 1 SOUTHAMPTON, MAN CITY AMKALISHA NEWCASTLE

1408370131334_wps_7_Liverpool_s_Steven_GerrarMajogoo wa jiji la London, Kikosi cha Liverpool kimeanza vizuri mechi yake ya kwanza ya msimu mpya wa ligi kuu ya England baada ya kuitungua bao 2  – 1 Southampton katika mtanange uliopigwa kwenye dimba la Anfield.

Winga wa Liverpool, Raheem Sterling  aliweza kuipatia timu yake bao la kuongoza mnamo dakika ya 23 kabla ya Nathaniel Clyne wa Southampton kusawazisha dakika ya 56 lakini bahati haikuwea yao kufuatia mshambuliaji Daniel Sturridge kupachika bao la pili ambalo liliweza kuipa pointi tatu timu yake hiyo.

Mchezo mwingine uliokuwa wa vuta nikuvute ni ule wa Manchester City walioibuka na ushindi wa bao 2 kwa nunge dhidi ya Newcastle United, Magoli ya City yaliwekwa wavuni na Kiungo mkabaji David Silva mnamo dakika ya 39 pamoja na  Sergio Aguero dakika za majeruhi.

Raheem Sterling na Sturridge wakipongezana baada ya mchezo kumalizika

Raheem Sterling na Sturridge wakipongezana baada ya mchezo kumalizika

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s