KAGAME CUP 2014 : AZAM FC YAITUNGUA BAO 4 – 1 ADAMA CITY YA ETHOPIA

Azam FcWanalambalamba wa Azam Fc wameweza kuibuka kifua mbele baada ya kuipa kipigo cha jumla ya mabao 4 – 1 Adama City ya Ethopia katika michuano ya kombe la Kagame katika hatua za makundi.

Magoli ya Azam Fc yaliwekwa wavuni na mshambuliaji hatari John Bocco Adebayor mnamo dakika ya 30, Didier Kavumbangu, Viali pamoja na Kipre Tchetche na kuifanya iwe timu ya kwanza kuwa na magoli mengi kwenye mechi za makundi ikiwa na jumla ya magoli 10 ikifuatiwa na Police Rwanda yenye magoli 7.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s