PICHA ZA MAZISHI YA MKE WA AFANDE SELE ”MAMA TUNDA” MKOANI MOROGORO

Mfalme wa Ryhmes, Afande Sele amesindikizwa na mamia ya wakazi wa mkoa wa Morogoro pamoja na baadhi ya wasanii wenzake akiwemo Joseph Haule ”Prof Jay” na Rais wa Shirikisho la Filamu, Simon Mwakifwamba kwenye mazishi ya mama watoto wake aliyezikwa kwenye makaburi ya Kolla mkoani Morogoro. Tazama Picha za mazishi hapo chini..

Sheikh akisoma dua kwa ajili ya marehemu mama Tunda kabla ya kwenda kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele

Sheikh akisoma dua kwa ajili ya marehemu mama Tunda kabla ya kwenda kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele

Rais wa Shirikisho la Filamu TAF, Simon Mwakifwamba akimfariji Afande Sele

Rais wa Shirikisho la Filamu TAF, Simon Mwakifwamba akimfariji Afande Sele

Afande Sele akiwa amembeba mtoto wake wa pili Asantesana

Afande Sele akiwa amembeba mtoto wake wa pili Asantesana

Afande Sele alkilia kwa uchungu wakati wakielekea kwenye kumzika mama watoto wake pembeni yake ni Professor Jay

Afande Sele alkilia kwa uchungu wakati wakielekea kwenye kumzika mama watoto wake pembeni yake ni Professor Jay

Afande Sele akiwa udongo kwenye kaburi la Mama Tunda

Afande Sele akiweka udongo kwenye kaburi la Mama Tunda

Afande Sele akishuhudia mwili wa mkewe ukiwekwa kaburini

Afande Sele akishuhudia mwili wa mkewe ukiwekwa kaburini

Picha kwa hisani ya Global Publishers

Advertisements

13 thoughts on “PICHA ZA MAZISHI YA MKE WA AFANDE SELE ”MAMA TUNDA” MKOANI MOROGORO

  1. pole sana afande sele inshaalah mwnyz mungu akupe nguvu akzdshie iman ktk kipind hiki kigumu cha majonz

  2. Pamoja ile mbaya.kifupi nimepoteza dada.alotupenda,jali na kuthamini rafiki wa simba mara zote tulipokua Pamoja ile mbaya.kifupi nimepoteza dada.alotupenda,jali na kuthamini rafiki wa simba mara zote tulipokua Pamoja ile mbaya.kifupi nimepoteza dada.alotupenda,jali na kuthamini rafiki wa simba mara zote tulipokua Pamoja ile mbaya.kifupi nimepoteza dada.alotupenda,jali na kuthamini rafiki wa simba mara zote tulipokua moro.
    Mungu alitoa na sasa amemtwaa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s