NDOA YANUKIA : WEASEL ATAMBULISHWA UKWENI

weasel na Shamira

weasel na Shamira

Memba wa Kundi la GoodLyfe kutoka nchini Uganda, Douglas Mayanja Seguya AKA Weasel ametambulishwa rasmi kwa wazazi wa mkewe mtarajiwa aitwaye Shamira.

Akiwa ameongozana na ndugu pamoja marafiki zake wa karibu akiwemo Jose Chameleone, Radio na AK 47, Weasel alikaribishwa na jopo lake nyumbani kwa mpenzi wake huyo eneo la Jinja na kisha kutambulishwa kwa wazazi  na ndugu wa mchumba wake huyo.

Awali Shamira alikuwa akitoka kimapenzi na mdogo wa Weasel aitwaye AK 47 ambaye katika hali ya kushangaza hakuwa na kinyongo kuwapa pongezi katika hatua nzuri waliyofikia.

Tonight I want to congratulate my brother Weasel and Samira for both having the confidence to overlook each other’s past and choose to move on with their future responsibly. I am so happy for you Weasel and I want to wish you a happy future with your soon to be wife Samira…God Bless You!!”  Aliandika AK 47.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s