SIRI IMEFICHUKA JUU YA KIFO CHA MUIGIZAJI ROBIN WILLIAMS

Robin WilliamsHatimaye siri imefichuka juu ya kifo cha mwigizaji nyota, Robin Williams aliyekutwa amefariki Dunia Agosti 11 nyumbani kwake mjini California nchini Marekani.

Ripoti iliyotolewa na  Polisi imesema kwamba siku ya Jumatatu Williams alikuwa nyumbani kwake mwenyewe ambapo alijaribu kujiua kwa kukata mshipa mkuu wa mkono wake kwa kutumia kisu kidogo na baada ya zoezi hilo kushindikana ndipo alipoamua kujitundika kwa kutumia mkanda wa kiunoni.

Katika kipindi cha mwisho cha maisha yake, Robin alikuwa akipatiwa matibabu ya Rehab mjini Minnesota baada ya kusumbuliwa na tatizo la msongo wa mawazo na matumizi yaliyokithiri ya dawa za kulevya.

 

 

 

Advertisements

One thought on “SIRI IMEFICHUKA JUU YA KIFO CHA MUIGIZAJI ROBIN WILLIAMS

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s