LIL WAYNE ATANGAZA TAREHE YA KUTOKA ”THA CARTER V”

WeezyRapa wa Young Money Lil Wayne ametimiza ahadi yake baada ya kutangaza  tarehe itakayotoka albamu yake mpya ya Tha Carter V sambamba na kurelease cover la albamu hiyo kwenye kipindi cha michezo cha First Take kinachorushwa hewani na ESPN.

Tha Carter V inatarajia kuingia rasmi sokoni Tarehe 28 mwezi Octoba mwaka huu ikiwa ni albamu yake ya 11 kuachia tangu aingie katika gemu la muziki wa Hip Hop.  Itazame hapo chini pamoja na ngoma zitazokuwepo kwenye Albamu hiyo.

Lil Wayne

CARTER V

1. “Intro” feat. Game, Drake
2. “Flown” feat. Birdman, Future
3. “Kill ‘Em” feat. Meek Mill
4. “KIRN”
5. “Not a Chance” feat. the Weeknd, Future
6. “No Answers” feat. Kanye West
7. “Interlude”
8. “They Ain’t Wit Us” feat. Drake, Young Thug
9. “Tomorrow Ain’t Tomorrow” feat. Rich Homie Quan
10. “Can’t Trust ‘Em” feat. Bun B, J. Cole
11. “Forty” feat. Future, Nas
12. “The End – Outro” feat. Birdman

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s