AFANDE SELE AFIWA NA MZAZI MWENZAKE MAMA TUNDA

Afande Sele

Mama Tunda, Tunda na Afande Sele

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na Mfalme wa Ryhmes anayewakilisha mkoa wa Morogoro,  Selemani Msindi AKA Afande Sele amepatwa na pigo kubwa la kuondokewa na mzazi mwenzie, Asha Mohammed Shiengo al maarufu kama Mama Tunda aliyefariki Dunia katika Hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya kuugua ghafla ugonjwa wa Malaria.

Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA. aliandika Afande Sele kwenye ukurasa wake wa Facebook hapo jana

Marehemu ameacha watoto wawili aliozaa na Afande Sele ambao ni Tunda na AsanteSana. Kila Nafsi itaonja Mauti, Mungu Ailaze Roho ya Marehemu pema Peponi Amen

Afande Sele na Binti yake Tunda

Afande Sele na Binti yake Tunda

 

Advertisements

One thought on “AFANDE SELE AFIWA NA MZAZI MWENZAKE MAMA TUNDA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s