PICHA NA VIDEO : MSIKITI WA MTAMBANI WATEKETEA KWA MOTO

Msikiti wa Mtambani

Msikiti wa Mtambani uliopo eneo la Kinondoni B umetekete kwa moto usiku wa kuamkia leo ambapo hadi sasa bado haijaweza kubainika chanzo hasa cha moto huo na thamani ya mali zilizopotea.  Vikosi vya Zima Moto vikishirikiana na waumini wa msikiti huo walifanikiwa kuuzima moto huo uliokuwa umetanda kwenye ghorofa ya juu.

Mtambani Msikiti1 Mtambani Msikiti2 Mtambani Msikiti3 Mtambani1 Mtambani2

 Picha kwa hisani ya Global Publishers

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s