CHRISTINA MILLAN AWATEGA MASHABIKI NA MTINDO WAKE MPYA WA NYWELE

WeezyWaswahili wanasema kusoma hujui hata picha huoni, Mkali wa miondoko ya R&B kutoka marekani, Christina Millan bado ameendelea kuwatega mashabiki juu ya uhusiano wake na Rapa wa Young Money, Lil Wayne kufuatia mtindo mpya wa nywele aliokuja nao ambao nyuma ya kichwa chake amenyoa  maneno yanayosomeka TNT ambayo yametafsiriwa huenda ikawa ni AKA zao yaani Tina N Tunechi.

Do You….Imm’a Do Me. #tnt couldn’t be more happy in my life. #notimeforsmallminds. Aliandika Christina Millan kwenye kurusa zake za Instagram na Twitter na kisha kupost picha kama anavyoonekana hapo chini.

Christina Millan

Christina Millan na  mtindo mpya wa nywele ”TNT”

Awali Christian Millan alikuwa mke wa mwanamuziki The Dreams aliyefanikiwa kuzaa nae mtoto mmoja wa kike kabla ya kutalikiana na kuangikia mikononi mwa sharobaro Jas Prince Jr mpaka kufikia hatua ya kuvalishana pete ya uchumba na kutangaza ndoa lakini mambo hayakwenda kama walivyopanga na kuamua kupigana chini.

Tetesi za Weezy na Christina kutoka kimapenzi zilianza kuzagaa kwa kasi mitandaoni baada ya kuonekana wakiwa pamoja kwenye utoaji wa Tuzo za ESPY mwezi mmoja uliopita licha ya wenyewe kukanusha vikali habari hizo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s