JE, UNAHITAJI KAZI? SOMA NAFASI HIZI MPYA ZA AJIRA

jOB vACANCY

 

LOOKING FOR THREE DRIVERS IN MY COMPANY

Send your cv to erick.usiri@yahoo.com
cc:sivanext@gmail.com
deadline:15th august 2014
Position Description

1. Maintain office schedule by picking-up and delivering items using automobile.


2. Enhances organization reputation by accepting ownership for accomplishing new


and different requests; exploring opportunities to add value to job accomplishments.


3. Ensure vehicle is given regular/day-to-day maintenance checks: check oil, water,
battery, brakes, tyres, etc


4. To drive carefully at all times and ensure safety of the passengers, other road users,
and the assigned vehicle.


5. Ensure vehicle is kept clean, tidy and in good working condition at all times.
6. Shuttle guests between the hotel, office and the airport.


7. Act as back up to other team members as needed.


8. Report all accidents, injuries, unsafe working conditions and damage of the vehicles and
related property.


9. Perform other duties as assigned by management/administration

Qualifications
1.Form Four Leaver
2.Valid Driving License Class B,D,E

 

Advertisements

123 thoughts on “JE, UNAHITAJI KAZI? SOMA NAFASI HIZI MPYA ZA AJIRA

 1. Naitwa Fadhili hawadi kyando nina umli wa miaka 25 naishi Dar es salaam ni dereva mwenye uzoefu wa miaka miwili naomba kazi ya udereva wa magari makubwa au madogo ktk KAMPUNI au binafsi LICENCE yangu claas ( E ) nime somea ktk shure ya TEMEKE DRIVING SCHOOL No:0758 792745

 2. Jina langu ni Hatibu mohamedi,nina umri wa miaka 20,nina uzoefu wa kuendesha gari dogo na kubwa aina ya fuso au canter,ila nina lesen daraja A D,na pia nina cheti cha veta na elimu yangu ni form four.Natafuta kazi

 3. NAITWA SALUM NATAFUTA KAZI YA UDEREVA NINA UZOEFU WA KUENDESHA MAGARI MADOGO YOTE,CANTER,NA FUSO. DARAJA D. 0683083666

 4. Im looking for a driving job, ihav 6 years driving expérience and i have been working by Tanzanian embassy in Pretoria sincè 2009 to 2012 then i moved to one of thé logistic Company called SAHMAT logistic and i got a south african driving licence class C and a Tanzanian driving licence class ABDE im ready to work any time hope to hear from y ou soon thank y ou.

 5. Naomba kazi ya udereva uzoefu wangu miaka sita ,elimu yangu kidato cha nne ,ninaelimu ya ufundi stadi daraja la pili nimefanya kazi sehemu tofauti.nipo tayar muda wowote ule nkihitajika. wenu katika ujenzi wataifa

 6. Naitwa imman mathias,nina umri miaka 21, nina tafta kazi ya udereva nina lesen clas (A D)najua kuendesha magar madogo,my phone number is 0757668585,nitashukul kama ombi lang litatekelezwa.

 7. Kwa jina naitwa Evarest Michael natafuta kaz ya udereva wa magari madogo nina uzoefu wa miaka miwili lesen yangu ni daraja D pia nna chet cha ufundi cha veta nipo tayar mda wowote nanamba yangu ya simu ni 0766708142

 8. Kwa jina naitwa Evarest Michael natafuta kaz ya udereva wa magari madogo nina uzoefu wa miaka miwili lesen yangu ni daraja D pia nimesomea ufundi magari na nina chet cha ufundi cha veta nipo tayar mda wowote na namba yangu ya simu ni 0766708142

 9. Naitwa Paul Thomas Kadyole Natafuta Kazi Ya Ufundi Magari Daraja La Pili,na Uzoefu Wa Miaka Sita Namba Yangu 0713007137.

 10. AWADHI MROPE Naomba kazi ya udereva uzoefu wangu miaka mitatu,elimu yangu kidato cha nne,taaluma yagu nilisomea katika chuo cha serikali nilisomea vip madhumuni mafanikio na kuijenga taifa NO.0654166680

 11. NAOMBA KAZI YA UDEREVA.ELIMU YANGU 4M4,NINA LEVEL 2 YA MAKENIKSI,NINA LESENI CLASS A,B,D,E,F,G.NINA UZOEFU WA MWAKA 1 NA NUSU

 12. Naitaji kazi ya udereva nina lesen clasi c1 na c2 na d na e napatika tegeta daresalamu namba yangu 0767940929

 13. Naitwa mohamed mwidin napatikana daresalamu tegeta naomba kazi ya udereva kiori ori au picup au costar ya shule au aisi nina leseni d e na c1 na c2 namba0767940929

 14. Naombeni kaz jamani ya kuendesha wanafunzi na ata kama ningepata kiori ori au picup au costar au aisi napatikana tegeta daresalamu namba yangu0767940929

 15. Naitwa jacksoni natafuta kazi ya udereva nauzoefu wa miaka 5 naendesha magari yoye nani funfi wa umeme wa magari yote Asant

 16. Naitwa Jackson natafuta kazi ya udereva nina leseni class A B D E nina uzoefu wa kuendesha gari miaka 6 nani fundi wa umeme wa magari yote no 0654460132

 17. Jamani mimi nataka kiori ori kwa sasa nina leseni clasi d na e na c1 na c2 namba yangu 0767940929 naitwa mohamed nipo tegeta naitaji gari nzuri uzoefu miaka 3

 18. Mimi Ni kijana Mwenye Umri Wa Miaka 24 Nimefanikiwa Kumaliza Ufundi Wa Magar Veta Daraja La Tatu Had La Kwanza Pia Niko Na Lesen Daraja E.Naomba Nafasi Ya Kazi.Contact.0655274323/0768264323

 19. Naitwa Venance Mwambepo Naomba Kazi, Nimzoefu Wa Miaka Miwili Nipo Alumashauri Nafanya Ufundi Nasubili Ajira Napenda Nije Kwenye Kampuni.Ila Form Four Nilimaliza Nilifeli Cheti Sina Ninacho Cha Nit Usafirishaji,nitashukuru Kama Ombilangu Litapokelewa Asante.

 20. Iam A Gettledman With 24 Years Old,i Looking For Technicians Of Motor Vehicle Mechanics And Driving Job.I Succed To Completed Outomative Engeering Grade Three Up To One From Veta.Thanks For Your Coparation.

 21. Naitwa Barasa naomba kaziya udereva nina clas A,B,C1,C2,C3,D,E nimatumaini mtanisaidia kwa namba 0752883575..0763428011

 22. napenda kujali na kuthamini kaz.lesen yangu class D na elimu yangu la saba nikasoma english coz.je mtanisaidia je?

 23. napenda kujali na kuthamini kaz.lesen yangu class D na elimu yangu la saba nikasoma english coz.je mtanisaidia je?0764400633 ni namba yangu

 24. naombeni mnisaidie kazi, sifa zilizotajwa hall juu zote ninazo. mamba zangu za sim ni 0717272448 na 0688901792

 25. Naitwa agustino M Ndendya. ninaelimu ya kidato cha nne na elimu ya ufund magari ( mechanics) level one na two pia certifficet ya udereva na leseni class A,B,D,E NATAFUTA KAZI YA UDEREVA. uzoefu ni miaka miwili 0765596055

 26. Jina langu ni Denise George,nina miaka 21.Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne 2012,ninaomba nafasi ya udereva,ujuzi huu niliupata ktk chuo cha VETA.Nina leseni daraja D.
  Ahsante..

 27. naitwa khussein hamis elimu yangu kidato cha nne,ninachet cha grad one mechanics npo garage nina lesen D NA B ninachet cha veta 0687446524

 28. naitwa Anold Paul nimuitimu wa mafunzo ya umeme wa magari na ni meitimu udereva nilikuwa na omba mnisaidie

 29. Naitwa Edward M Munga elimu yanga ni kidato cha nne natafuta kazi ya udereva katika kampun yoyote ile au hata kama kumwendesha mtu binafsi uzoefu wangu wakazi ni miaka mitatu sasa daraja la leseni yangu ni A,D na E nazangu za simu ni 0788079502 na 0654230340

 30. naitwa ponsian exavery mluge na kijana mwenye umli wa miaka 21 ninauzoefu wa udereva nina lesen cras E napenda kufanya kazi na kampun derikal au mtu binafsi na napenda kufanya kaz ya kudum au mkataba no zangu za cm ni 0657333303;;0712534702;;0784015250

 31. Naitwa Mossi Abdallah Nina Umri Wa Miaka 20 Natoka Dodoma Naomba Kazi Ya Udeleva Nimesoma Katika Chuo Cha Selikari Veta Dodoma Magari Ambayo Nayoendesha Ni Gari Ndogo Zote Na Canter Leseni Yangu Class A,B,D

 32. naitwa mossi abdallah mussa natokea mkoani dodoma natafuta kazi ya udeleva nimehitimu chuo cha ufundi veta dodoma ni umri wa miaka 20 aina ya magari ninayoendesha Magari Yote Madogo,na Canter aina ya leseni ninayotumia ni A,B,D,E kwa mawasiliano zaidi call 0652757384 anytime iko hewani thanks

 33. naitwa joseph h magezi naomba kazi ya udeleva nina uzoefu wa miaka miwili naendesha gari ndogo naendesha na fork lift pia lecen clasD nimesomea veta draiving nashukuru endapo ombi langu litakubaliwa wenu katika ujenzi wa taifa my no.0769488007

 34. My apprication for a job vacance
  My lecence class A,A2,B,D,E ( E )
  I have complete dravinig training corse in MABIBO GET WELL
  And awarded certificate
  My education level is form 4
  I will be read for interview any time I will be in need
  I have experience
  I will be very glade for good answer of my request
  I wish you good job and GOD bless you
  Your faithfull SABI MASAMBO
  0713 – 317664

 35. Ninaitwa Is,haka Abdallah ni mkazi wa dar elimu yangu kidato cha nne naitaji kazi ya udereva nimexoma VETA Mgurani JKT na pia mzoefu wa matengenezo madogomadogo ya magar resen yangu daraja D kwa mawasiliano number 0656048354 au 0789312037 Nipo tayari muda wowote

 36. ok naitwa khusen hamis kw sasa npo dar natafuta kazi elimu yangu kidato cha nne,na chet cha edereva veta na lesen daraja D,B kiufundi ni fundi wa magali madogo pia na chet ya grad one ya mechanics 0687446524,0715818678,\tweet*chief khussein hamis\email*khusseinhamis@gmail.com

 37. Naitwa Akida Isaya mwenye umli wamika 30 nimeowa nina mke namtoto mojan natafuta kazi yaudreva ninauzoefu nayo zaidi yamika 6 nimesha wai kufanya kazi kwenye makampun tofauti kama takashin campan lmd jika stud tim jata nakuwaendesha watu binafs kwayoyote atakae pokea ombi langu mungu ambaliki lessen yangu ni B ,D ,E NAMBA YANGU YA CM NI 0714671618 AKIDA ISAYA

 38. Naitwa Issa Ally Ninamyaka 20 Ninatafuta Kazi Ya Udereva Wakuendesha Magar Makubwa Nina Licence Clas E Ninauzoefu Wa Myaka Miwili.Number Of Phone 0762155675 Tashukuru Sana Kama Mkinisaidia,

 39. Naitwa isaack mgimba na umli wa miaka 22 natafuta kazi ya udeleva au ufund wa magal katika kampun yoyote ile 0763823042

 40. naitwa Omary selemani naish dar salaam nahitji maomb ya ajir katk kiteng cha udereva nikiambatanisha na CV yang Nina Cheri cha VETA basic driving pia Nina chet cha udereva mahil daraja la pili kutoka katika chuo cha taifa cha usafirishaj NIT kwa coz ya advance driver grade all VIP pia bila kusahau na lesen ya uderv nipo tayr kufanya kaz popot kwa mawasilian yang no 0757345760

 41. Mimi naitwa Gerald marceli momburi naishi dar es salaam. Naomba kazi kwenye kampuni yako.Leseni yangu ya udereva ni class E. namba yangu ya simu 0688411379. natumaini ombi langu litapokelewa.

 42. NAITWA AKIDA ISAYA NATAFUTA KAZI YA UDEREVA NINA UZOEFU WAMDA MLEFU NAKAZI HII YAUDEREVA NINA MKE NAWATOTO NINA LESENI YANGU NI D ,B ,E NAMBA YANGU YA SIM NI 0714671618

 43. Naitwa Mossi Abdallah Natokea Dodoma Natafuta Kazi Ya Udereva Nimesoma Katika Chuo Cha Wizara Ya Ufundi Veta Dodoma Leseni Yangu A,B,D,E niko tayari kwa mtu binafsi au shirika lolote kwa mawasiliano zaidi 0652757384

 44. Naita Denise George,nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na makubwa,nina leseni Daraja A,B,C2,C3 na D.Pia nina cheti cha mafunzo ya ufundi VETA Kagera.Nitashukuru.

 45. naitwa ramadhan natafuta kaz ya udeleva nina miaka 25 ninayo lesen na cheti cha veta namba yangu 0654494168

 46. Elimu yangu ni form four(IV)ufundi motor vehicle mechanics daraja la kwanza,uzoefu miaka kumi.umri wangu ni miaka 32,ninaishi Dar-es-salaam.

 47. Naitwa rackzin ramesh natafuta kazi ya udereva na uzoefu nao namba yangu ya cm ni 0658167165

 48. Naitwa Ishengoma natafuta kazi ya udereva, elimu ni form four, nina umri wa miaka 40 naishi Dar es Salaam nina uzoefu na kazi hii kwa muda wa miaka 15, Driving Linxense yangu ni, class A,B,D,E nina uwezo wa kufnya kazi maeneo mbalibali, namba yangu ya sim says:

  AM LOOKING FOR THE JOB PLEASE HELP ME,

 49. Naitwa antony obinju masasi natafuta kazi ya udereva ninauzoefu wa mika 5 na kazi yañgu nina lesini daraja a.b.c1.c2 .c3.c.d.e .no zangu 0659113860 nipo tayari mda wowote

 50. Jina langu ni BRUNO THOBIAS, ni mkazi wa jijini dar-es-salaam. Mimi ni dereva mwenye leseni daraja c1, na uzoefu wa kuendesha magari karibu aina zote kwa zaidi ya miaka 10. Taaluma hii ya udereva nimeisomea ktk chuo cha usafirishaji cha taifa (N.I.T) na kuhitimu vyema ktk kozi ya Industrial grade two. Ninajitokeza ktk ukurasa huu kuomba ajira hii ya udereva popote pale nchini kwa vigezo nilivyo viainisha hapo juu. Kwa mawasiliano, simu yangu ni 0716307710 au 0767167320 au niandikie kwenye imail hiyo hapo chini

 51. Naitwa Medard Robert natafta kaz ya udereva magar madgo lesen ina madaraja A B D E Nipo Dar, 0763585709

 52. Naitwa bubinza faustine natafta kazi ya udreva nin uzoefu wa miaka 2 nina elim ya 4m4 pia nimesoma chuo cha NIT.leseni yangu ni dalaja c.

 53. naitwa Ayoub ndumbala nina umri wa miaka 23 naishi dar es laam ni dereva mwenye uzoefu wa miaka 2 naomba kazi ya udereva magar ya dfp licence yangu class A B D E nime somea katika chuo cha NIT advanced drivers grade 2 (vip) kwa mawasiliano zaid 0718 110 470 nashukulu!

 54. Naitwa Lucas James, Mimi Ni Raia Wa Tanzania, Nina Umri Wa Miaka 20, Nina Licence Daraja E, Pia Mimi Nina Cheti Cha Ufundi, Wa Gari Na Ni Mzoefu. Naishi Mkoa Wa Kigoma Tz Namba Yangu Ya Cm 0782582270.

 55. Mimi naitwa KASIBA YUSUPH nina umli19 na cheti cha kumaliza elimu ya msingi pia nime soma udeleva FUTURE WORLD VOCATIONAL INSTITUTE. nime somea udeleva wa magali na udeleva wa pikipiki na leseni daraja A&D. pia na baadhi ya masomo nime soma BASIC MOTOR CYCLE MECHANIC Entrepreneurship, life skills naomba ajila ya udeleva No ya simu 0715080767 Asante.

 56. Naitwa hamadi nuru ndossy natafuta kazi ya udereva nina leseni ya udereva daraja A,B,D,E,F na G,pia nina ujuzi wa ufundi magari veta grade one ninauzoefu miaka 5

 57. jambo TZ, naitwa Mark,ni dereva kitaaluma.natafuta kazi ya udereva kwa gari yaaina yeyote.umri miaka 41.Nimawahi kuajiriwa sekta ya umma na binafsi.Uzoefu barabara ni nimiaka 24 hususani magari makubwa.nimesoma vyuo mbalimbali kuongeza ueledi.ninaleseni daraja A,A1,A2,A3,B,C,C1,C2,C3,D na E nawezakufanyakazi nchi yeyote.Kunipata piga simu +255 765 112 772.

 58. mimi naitwa neema. plz friends. naombeni kazi kwenye kampuni. nina diploma ya management. namba yangu ni 0762203164

 59. Mimi ni Dereva mahili, natafuta Kazi yeyote ya udereva. Nina elimu ya kidato cha nne, pia nina cheti cha VETA cha udereva. na leseni class B,D na E,. ninauzoefu wa kutosha na NI mchapakazi. 0718 964 795

 60. Mimi ni Dereva mahili, natafuta Kazi yeyote ya udereva, umri wangu ni miaka 23. Nina elimu ya kidato cha nne, pia nina cheti cha VETA cha udereva. na leseni class B,D na E,. ninauzoefu wa kutosha na NI mchapakazi. 0718 964 795

 61. MIMI JEMSI PETER NINAOMBA KAZI YA UDEREVA NIMEHITIMU MAFUNZO YA CHUO CHA UDEREVA NINA LESENI YENYE MADALAJA A , B , D, E ] NINAOMBENI KAZI NISHIDA NA KAZI

 62. FORKLIFT OPERATER
  Experience, 2 yrs
  Education level, advance certificate
  +
  Forklift certificate
  Driving license A,B,D & F
  Living, in dar es salaam.
  Age 29
  For more info:
  Contact No, 0655 323166

 63. mm naitwa john morgani natafuta kazi ya undeleva we mangalimakubwa napatikana mkoani geita nambayangu ni 0765 29 63 15 nyingine 0753 53 20 58

 64. mm naitwa john morgani napatikana mkoa wa geita natafuta kazi za kuedesha Magali makubwa ya mizingo ninauzoefu wa miaka mitano pia nimepitia mafuzo ya sefti maini ngi nitashukulu kama ombilangu litapokelewa niwatakie kazijema za ujezi wa taïfa

 65. Naitwa peter Andrew natafuta kazi ya udereva Licence yangu Ni clas E nimesomea NYANZA DRAVING school ili opo mwanza mjini elimu yangu ni.kidato cha tatu siku batika kumaliza form 4 tokana na kukosa ADA kwama wasiliano No 0753165774

 66. Naitwa peter Andrew natafuta kazi ya udereva Licence yangu Ni clas E nimesomea NYANZA DRAVING school ili opo mwanza mjini elimu yangu ni.kidato cha tatu siku batika kumaliza form 4 tokana na kukosa ADA Anta fulai sana kama nikipata kazi Asanteni kwama wasiliano No 0753165774

 67. hellow watanzania mtajwa hapo ju nikwel ni mmi naitwa MR PINIELY LAIDE napatkana arusha mim nidereva mwenye udhoefu mkubwa xna nimefanikiwa kufanya kaz katka makampun yafuatayo mm steel man’gato hardwer paxemax suplay na bulk disributs ila kwa sasa cna kazi nahtaj kaz nina chet cha veta na lesen “A”B”D”E ntashukru kama ntafanikiwa,

 68. Natafuta kazi ya udereva Nina umri wamika 33 ninalesen class A b d na E nanuzoefu Wa semi treila fuso canter nagar zozote zinazo ruhusu lessen yangu niendeshe ninauzoefu katika fani hii kwa muda Wa miaka7 cjawah kupataajali

 69. natafuta kazi Mimi ni kijana elimu yangu ni dalasa LA saba naitaji kazi nitashukuru kama nitakubaliwa umri wangu ni miaka 22 ninauzoefu endapo nitapangiwa majukumu no wako katoka ujenzi wa taifa

 70. Naitwa philemoni amon natafuta kazi ya udereva na ninauzoefu wa miaka miwili na lexeni yangu ni claxx”E”number ya cm :0654-920302 au 0763-415387

 71. naitwa hussein athumani kamtupe natafuta kazi ya udereva katika kampuni yoyote nina uzoefu wa miaka 3 katika driving licence yangu n E,, namba yangu ni 0714748704

 72. Naitwa Lucas A Kwembe Nipo Mbagara Dar Es Salaam Natafuta Kazi Ya Udereva Lesen Yangu Ni Class A B D Nimesoma Katika Chuo Cha Veta Chang’ombe Dar Es Salaam Nimesomea Udereva Na Ufundi Machanical Nitafulahi Ombi Langu Endapo Litakubaliwa Number Yangu Ya Simu Ni 0789815156 au 0653876869

 73. Naitwa Lucas Kwembe Nipo Dar Es Salaam Mbagara Natafuta Kazi Ya Udereva Nna Umri Wa Miaka 22 Elimu Yangu Nimeishia kidato Cha Pili Nil Nimesoma St,Peter Juniory Seminar Morogoro Sikubahatika Kumaliza Kidato Cha Nne Kutokana Nauwezo Mdogo Wa Kifetha Lesen Yangu Ni Class A B C Nitashukuru Endapo Ombi Langu Litakubariwa Simu Numbe 0789815156 au 0653876869

 74. Ninaitwa Richard polienti sianga ninatafuta kazi ya udereva. Nina umre wa miaka 25.Nimesomea shule ya udereva karema ipo Tegeta jijini dar esalam. Nina uzoefu wa miaka mitatu nina daraja A’A2’B’D’E.mgari makubwa na madog yakampuni na binafsi. Namba yangu ni 0716544416 umoja ni nguvu

 75. Naitwa emmanuel elia nidereva niliyesomea magari ya serikali nina uzoefu wa miaka saba nina nina elimu ya kidato cha nne na chuo cha utalii nimepitia N.I.T course V.I.P nina advance drever certificate grade 2 ninaomba kazi serikalini na makampuni binafsi niko arusha tanzania

 76. naitwa Justine Emmanuel Nina umri wa miaka 22 natafuta kazi ya udreva Nina uzoefu wa mwaka mmoja na nusu na “Nina lesen ya daraja c” namba yangu ya sim ni 0768955452 au 0673955452 n matumain yangu kuwa ombi langu litajibiwa.asante

 77. mm n mkazi was Tanzania napatikana mkoa was Morogoro Mjini natafuta kaz yyte npo tayari kufanya haijarishi ndan au nje ya nchi Nina Elimu ya Form Six na Nina fan nmesomea. namba yangu ya cm n 0719-319548

 78. naitwa deogtrlius joji naishi.sumbawanga naomba ajira gari.maana mm ni mzoefu.wa.miaka mitatu nina lesen daraja la “c flat.” nitaturahi sana omhi lanyi likijibiwa .cm yangu ni 0689272358 asanten sana

 79. naitwa helmas mhiche. ninamiaka 20 natafuta kazi ya udeleva. ninaleseni darajaA$D au utingo. napatikana mkoa wa njombe. no,0764071832

 80. natafuta kazi ya udereva ndio fani yangu nina uzoefu zaidi ya miaka 5 lakin kama inatokea kazi isio taka ujuzi nafanya no yangu 0712641309

 81. naitwa emanuel naomba kazi yoyote nina licence driving ya class( A,B,D ) mobile n: 0757764604 .thanks

 82. NATAFUTA KAZI YA KUJENGA NYUMBA KUFUNGA GABION KWENYE MADARAJA KUFUNGA MADARAJA NAJUA KUSOMA RAMAN YEYOTE NANI MUZOEFU NINA UMLI WA MIAKA 35 KABILA LANGU NI MSUKUMA ASANTEN NITAFUTENI FACEBOOK DANIEL GAMAYA

 83. ANGALIZO ::::YEYOTE ANAYEPOST HUM NDAN KUOMBA KAZI KUWA MAKIN SANA MAANA KUNA MA TAPELI HUM NDANI HASA KAMA MTU ANAYEJIITA MZEE KHERY HUYU MBAYA SANA …….NAPENDA KUSEMA YEYOTE UNAYEMTAPERI MWENZIO JUA UNAJITENGENEZEA MAZINGIRA MABAYA NA MAGUMU YA KUFIKIA NDOTO ZAKO NA TAMBUA WIZI DAWA YAKE MOTO

 84. NATAFUTA KAZI, Naitwa Khussein Hamis; naishi dar es salamu; Elimu Yangu Kidato Cha Nne ,ninataaluma Ya Ufundi Magali Na Chet Ya Ufund Magal Grade 1 Pia Ni Dereve Nina Lesen D& B ;0755191402\0687446524\email ;khusseinhamis@gmail.com

 85. Naitwa adam ndunguru umri wngu miaka 25 nime ishia kidato channe mwaka 2012 natafuta kazi ya udereva nina leseni daraja A, A2, B, D, E namba yangu ni 0657607867

 86. Advanced driver grade2 gained at NIT dsm, a vallied driving lisence class A,B,C,CI,C2,C3&E IM LOOKING FOUR JOB

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s