DAVIDO APONZWA NA POST YA EBOLA, MASHABIKI WAMJIA JUU

Wakati bara la Afrika likiwa kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola, Hitmaker wa Aye, Davido amejikuta akishambuliwa na mashabiki kwenye mtandao wa instagram baada ya kupost picha akiwa na wanajeshi nchini Ivory Coast alipoenda kupiga show na kuandika ”Protected!! 0 EBOLA!!”.

Davido

Davido kwenye picha ya pamoja na wajeda nchini Ivory Coast

Baadhi ya Comment  zilionekana kumponda Davido  kwa kitendo chake cha kuufanyia mzaha ugonjwa huo huku nyingine zikimsifia zaidi Wizkid kwa kuwa na busara kuliko mpinzani wake huyo.  Cheki COMMENT za mashabiki hapo chini.

@djdeemex ‘You see why wizkid is smarter than you … idiot ! you think its smart to make ebola joke !’

@mudiaski ‘lol rubbish nah soldiers wan protect u frm ebola’

@brandonpesong ‘What a shame davido. U could lost ur career cause of that.”

@walewallace ‘Why you taking pics posing like a bitch’

@nawalovato ‘Your full of shit twwww you should of checked your self back when you were in Nigeria they have in fact detected Ebola there . Twww respect your self’

@gudlex ‘not funny davido people are actually dying evry day”

 

 

 

Advertisements

2 thoughts on “DAVIDO APONZWA NA POST YA EBOLA, MASHABIKI WAMJIA JUU

  1. Ninaomba ya udereva nina umuli wa miaka 34 nimesoma chuo cha udereva mbeya madalaja ya leseni ni A, B. D.E , nina uzowefu wa mwaka umoja wenu jemsi peter simwika 0683334277

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s