ARSENAL YATWAA NGAO YA JAMII KWA USHINDI WA BAO 3 – 0 DHIDI YA MAN CITY

Arsenal

Wachezaji wa kikosi cha Arsenal wakishangilia ushindi wa ngao ya jamii

Washika mtutu wa jiji la London wameonyesha dalili nzuri za kuanza msimu mpya wa ligi kuu ya England kwa kishindo  baada ya kuipa kipigo cha bao 3 kwa mtungi klabu ya Manchester City katika mchezo wa kuwania  ngao ya jamii uliochezwa jumapili iliyopita.

Mabao ya The Gunners yaliwekwa wavuni na Santi Cazorla mnamo dakika ya 21′, Aaron Ramsey dakika ya 42 kabla ya Olivier Giroud kukamilisha kipigo cha jumla ya magoli matatu mnamo dakika ya 60 ya kipindi cha pili cha mchezo.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s