DROGBA ATANGAZA KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

DDrogbaMshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba ametangaza rasmi kutundika daruga kuichezea timu yake hiyo ya Taifa na hivyo kuelekezea nguvu zake zote katika kuitumikia timu yake mpya ya Chelsea.

Drogba mwenye umri wa miaka 36 amekwisha ichezea Ivory Coast jumla ya mechi 104 za kimataifa huku mchezo wa mwisho ukiwa dhidi yao na Ugiriki mwezi mmoja uliopita kwenye fainali za kombe la Dunia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s