PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE KILI MUSIC TOUR JIJINI MBEYA

14Jiji la Mbeya lilirindima kwa shangwe za hatari jana baada ya kuangushiwa burudani ya aina yake toka kwa wasanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva kwenye Kili Music Tour  wakiongozwa na balozi wa jiji hilo Izzo Bizness.

Wakali kama vile Professor Jay, Mwana FA, Ay, Shilole, Rich Mavoko na wengine waliweza kukata kiu za wapenzi wa burudani waliojitokeza katika uwanja wa New City Pub sambamba na kupewa sapoti ya nguvu na mbunge wa Mbeya mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi AKA ”Sugu”.

1

IMG_0325-620x400 26 24 23 18 19

25

Mbunge wwa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ”Sugu” na Professor Jay wakifuatilia kwa makini show

20

Professor Jay akimtambulisha Mheshimiwa Sugu kwa steji ya Kili Music Tour

22

DJ Mafuvu kwenye moja na mbili

17

Balozi wa jiji la Mbeya Izzo Bizness akifanya yake kwa steji

13

Mzee wa Commercial, Ambwene Yesaya ”AY” na MwanaFA wakiwapa ladha wakazi wa mbeya na vitongoji vyake

16

Izzo Bizness akiimba kibao chake cha Tumoghele

8

Hitmaker wa nakomaa na Jiji, Shilole akicheza sambamba na shabiki

12

Wakazi wa Mbeya wakishow Love

21 15  9 10 11 7 6 5 4 3  2

Picha kwa hisani ya Kililager.com

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s