DR SID AFUNGA NDOA BAAB KUBWA MJINI LAGOS

d18

Dr Sid na Simi Osomo

Wasanii wa Naija wanastahili pongezi za dhati kabisa hasa kwa  kuonyesha mfano wa kuigwa kwenye jamii ukiachilia mbali ustaa na mkwanja mrefu wanaomiliki haujawazuia kufunga pingu za maisha na wenza wao, hiyo ni baada ya mkali kutoka Mavin Records, Sidney Onoriode Esiri  AKA Dr Sid kufunga ndoa ya kidini na mchumba wake Simi Osomo mjini Lagos wikiendi iliyopita.

Ndoa hiyo takatifu ilifungwa kwenye kanisa la Ikoyi Baptist na kisha kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye hoteli ya Oriental.  Rapa Ice Prince alikuwa miongoni mwa wapambe wa bwana harusi mwenye taaluma ya udaktari wa meno. Tazama Picha hapo chini uone mambo yalivyokuwa.

d22

Kifaa cha DR Sid kikipata ukodaki

d42

Mashuhuda wakiwa kwenye Kanisa la Ikoyi Baptist wakifuatilia ibada ya ndooa

d52

Dr Sid akila kiapo mbele ya Kanisa

d61

Digitali ilipochukua nafasi yake

d71

Maharusi na wapambe wao wakitoka kanisani baada ya ndoa kufungwa

d81

Mr & Mrs Sid wakipongezana nje ya kanisa mara  baada ya kufunga ndoa

d101

Wapambe wa bibi harusi katika picha ya pamoja

d171

Dj akiweka mambo sawa ukumbini

d161

Keki ya Mr & Mrs Sid

d211

Maharusi wakisakata rumba

d221

Sio mchezo

d25

Congrats Mr & Mrs Esiri

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s