OMARION APATA KIDUME CHA NGUVU

Omarion na Apryls Jones

Omarion na Apryls Jones wakiponda raha

Staa wa miondoko ya R&B kutoka majuu anayefanya kazi zake za muziki chini ya lebo yaΒ  Maybach Music Group, Omari Ishmael Grandberry AKA Omarion au unaweza ukamuita Maybach O amemkaribisha memba mpya katika familia yake baada ya mchumba wake Apryl Jones kujifungulia nyumbani mtoto wa kiume mapema hapo jana.

Omarion anayetarajia kutimiza miaka 30 mwezi Novemba mwaka huu, ameposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa amembeba mtoto wake huyo aliyempa jina la Megaa ambaye amezaliwa na uzito wa kilo tatu na ushee na kisha kuandika ujumbe mzito wa kumpongeza mpenzi wake kwa kumzawadia kidume hicho.

World. 🌍. Allow me to introduce. MEGAA OMARI GRANDBERRY. He is 7 pounds. 4oz & 20 inches long. My son I’ve been waiting on you πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ. God is the realist!! I witnessed a miracle. My soul mate @aprylsjones is so strong! Not only did she have a un medicated birth (no drugs) she did it at home. Naturally. Just like my mom had me. πŸ™Œ. I love you. thank you for having my legacy. I’ll forever belong to you & you will forever be tied to me. Creating a child takes no love or skill but being a parent requires lots of both. πŸ’―. Thanks for watching me grow. #MEGAAhome #OmarionsonMEGAA #donthateonmysonsnameillkillya #Nolol #royalObloodline #blasain #mysongotgoodhair #freshpitthewombhandsom alright. I love y’all πŸ’―. aliandika Omarion

lit_ebro-daughter

Mchumba wa Omarion, Apryl Jones akiwa na kichanga chake chooni muda mfupi baada ya kujifungua

Omarion

Omarion akiwa amembeba mtoto wake wa kiume ”Megaa”

OMG O

Mtu na baba yake

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s