NANI KAMA MAMA???? KIM KARDASHIAN NA BINTI YAKE WATUPIA SARE SARE

Mwanamitindo na staa wa vipindi vya Televisheni, Mrs.West awali akijulikana kama Kim Kardashian  ameonekana akijitaidi kwa hali na mali kumuweka binti yake  North West katika muonekano mzuri na wa kistaa hali inayomletea usumbufu mkubwa  pindi anapokumbana na mapaparazi.

Katika kuthibitisha hilo, Kim K aliwapa uwanja mapaparazi wa kufanya kazi yao wakati alipowasili kwenye viunga vya uwanja wa ndege wa LAX uliopo mjini Los Angels Marekani akisubiria usafiri wa anga huku akiwa ametupia mavazi sare sare na binti yake .

article-2719351-205833FF00000578-279_634x839Mrs West

article-2719351-20583C9100000578-487_634x938 article-2719351-20583D5100000578-418_634x902  Kim & North Kim K

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s