MUIGIZAJI IDRIS ELBA AMUONYESHA ANACONDA WAKE

iMuigizaji nyota wa filamu aliyecheza kama Mandela kwenye filamu ya Long Walk To Freedom, Idris Elba aliwapa wakati mgumu waongozaji na wachukuaji picha baada ya upepo kuisonga suruali yake na kupelekea kiungo chake cha uzazi kuonekana kwa uraisi  hali iliyopelekea kuwa topic kwenye  mitandaoni mbalimbali hasa kutokana na ukubwa wa kiungo husika

Ishu hiyo ilijiri wakati staa huyo akiwa location kwenye mitaa ya jiji la London wakati wa utengenezaji wa filamu yake mpya ya A Hundred Streets in London.  Je unadhani Anaconda wa Elba na yule wa Nick Minaj ni yupi aliyetia fora??? Usisite kutuandikia maoni yako hapo chini.

 

enhanced-buzz-wide-2721-1407516684-17 enhanced-buzz-wide-25293-1407516689-15Hata hivyo habari hizo zimekanushwa vikali na Elba   kupitia akaunti yake rasmi ya Twitter na kudai kuwa ulikuwa ni waya wa mic huku akielezea kupata followers wengi baada ya picha zake hizo kusambaa mitandaoni.

Idris Elba

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s