EPHRAIM KIBONDE ATIWA MBARONI KWA KUSABABISHA AJALI NA KUKIMBIA TRAFKI

EkibondeMtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa hewani na kituo cha utangazaji cha Clouds Fm, Ephraim Kibonde amekubwa na dhahama ya aina yake asubuhi ya leo baada ya kugonga gari lililokuwa mbele yake eneo la Makumbusho na kutimua mbio.

Taarifa zinasema kwamba baada ya askari wa usalama barabarani kufika eneo la tukio kwa ajili ya kupima ajali hiyo, Kibonde alikuwa tayari amekwisha ondoa gari lake  na hivyo kuwalazimu kutumia gari lililogongwa kumfukuzia na kufanikiwa kumkamata eneo la mwenge ambapo licha ya kumtaka kurudi eneo la tukio kwa ajili ya kupima ajali, Kibonde alionekana kukaidia amri na kuamua kuondoa gari huku Trafki huyo akiwa ndani ya gari.

Hata hivyo Kibonde alizidi kuupalia moto kufuatia Trafiki huyo kutoa  taarifa kwa wenzake na kufanikiwa kumkamata eneo la Ubungo kwenye mataa na kumsweka mbaroni. 

Kibonde1

Kibonde akitaitiwa na askari wa usalama barabarani eneo la Ubungo

Kibonde

Kibonde akiwa kwenye kituo kidogo cha Polisi  Urafiki

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s