Umaarufu na ukicheche aliokuwa nao Rapa wa Young Money, Lil Wayne umemsababishia majanga baada ya tovuti moja ya udaku kumzushia kuwa ameambukizwa virusi vya UKIMWI sambamba na kuundwa mjadala mkubwa kwenye mtandao wa Twitter uliopewa jina la PrayForWeezy hapo jana.
Weezy anayesifika kwa kuishi maisha ya starehe na anasa, ameonekana kushindwa kuvumilia uvumi huo na kufunguka.“Our Sources Tell Us That Later On This Week He Is Going To Make A Formal Annoucement To The Media & Fans, However He Did Give Positive Words Of Advice, ‘Sometimes you get caught up with the strippers and groupies…Just Wear protection.’ #Prayforweezy.”.
Katisha
ILa binadamu wana hila cjui mtu aishi stairi gani ukiwa star maneno ukiwa fukara maneno yani bora mtu asingezaliwa naongea hivyo ckufuru kuwepo ila inauma sana.