SHILOLE NA MZIWANDA WATWANGANA KISA WIVU WA MAPENZI

Shilole na MziwandaHitmaker wa Nakomaa na jiji, Shilole amepigia mstari ule msemo usemao ”Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho” baada ya kupigana chini na mpenzi wake Nuh Mziwanda usiku wa jana wakati walipoalikwa kupata chakula cha jioni nyumbani kwa Producer Dibanjo maeneo ya Mango Garden Kinondoni huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa Mapenzi.

Inadaiwa kuwa Timbwili lilianza baada ya Mziwanda kufumania missed call pamoja na ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa kidume kingine kwenye simu ya laaziz wake ulioandikwa ”Nimeingia Dar” lakini cha kushangaza alipomtaka shilole ampigie mu huyo alionekana kupiga chenga ndipo alipomzaba kibao cha nguvu ambacho alishindwa kuvumilia nae kujibu mapigo kwa kumng’ata kabla ya watu na wasanii wengine walioalikwa kuingilia kati na kuwatenganisha.

 

Advertisements

One thought on “SHILOLE NA MZIWANDA WATWANGANA KISA WIVU WA MAPENZI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s