TREY SONGZ AZUA UTATA BAADA YA KUTINGA KIVAZI CHA KIKE JUKWAANI

Trey Songz

Trey Songz

Ni jambo la kawaida kuwaona wakinadada wakiwa wametupia viwalo vya wanaume lakini endapo ikatokea mtoto wa kiume akatupia  mavazi ya kike huwa anachukuliwa  tofauti na jamii inayomzunguka ingawa kwa siku za hivi karibuni imeonekana kuwa kama fasheni hasa kutokana na baadhi ya mastaa nyota wa kiume kuonekana wakiwa wametupia mikato hiyo ya kike.

Mwanamuziki mahiri wa miondoko ya R&B kutoka Marekani, Trey Songz amezua mijadala na minong’ono mingi kwenye mitandao mbalimbali hasa ya kijamii  baada ya kutupia kivazi cha kike katika moja ya show zake hali iliyopelekea kutiliwa shaka juu ya mahusiano yake.

Kipindi cha nyuma Trey Songz aliwahi kukumbwa na kashfa ya kujihusisha na mahusiano ya jinsia moja yaani ushoga licha ya mwenyewe kukanusha vikali tuhuma hizo.

Trey Songz

Trey Songz akiwa ametinga kivazi cha kike bila ya kupepesa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s