PETER WA PSQUARE AIPA SIKU 5 BENKI ILIYOKOMBA MKWANJA WAKE

Peterpsquare

Mwanafamilia wa P-Square, Peter Okoye ameipa siku tano benki iliyofanya ulaghai wa kuiba pesa zake ambazo hakutaja ni kiasi gani na hivyo kuwataka wamrudishie mkwanja wake la sivyo atawaumbua.

”Kuna yoyote amegundua shughuli ya ulaghai inayofanywa na benki kabla??? kwa sababu nipo mbioni kuitaja moja ya benki niliyojiunga nayo kwa takribani miaka 6”. aliandika Peter kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuongeza ”Rudisheni hela yangu yote ama sivyo nitawataja na kuwashtaki. Nitaitaja benki hiyo Ijumaa ya Tarehe 08 mwezi huu. Siku tano zimebaki. #Onyolamwisho”

Peter Okoye

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s