NICK MINAJ AONYESHA MAUTUNDU YA KUKATA NYONGA KWENYE KIPANDE KIFUPI CHA VIDEO YAKE MPYA YA ANACONDA

Nick MinajDiva wa crew ya Young Money, Nick Minaj ameleta shida nyingine kwenye kipande kifupi cha video yake mpya ya Anaconda inayotarajia kutoka hivi karibuni kwa kuonyesha umahiri wa hali ya juu wa kuzungusha nyonga mithili ya jina la nyoka mwenyewe.

Minaj mwenye miaka 31 tayari ameshaachia single ya wimbo huo ambao umeshaanza kuchezwa na kupatikana kwenye media mbalimbali. Itupie jicho hapo chini uone alichofanya.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s