MICROSOFT WAISHTAKI KAMPUNI YA SAMSUNG

gty_microsoft_ll_120618_wmainMicrosoft imeishitaki kampuni ya Samsung kwa madai ya kushindwa kufanya malipo kwa ajili ya hati miliki ya teknolojia ya Microsoft inayotumika katika Smartphones na Tablets.

Microsoft imekubali wateja wa vifaa vya kampuni hiyo ya Korea kusini kutumia umeme wa kampuni ya Colosource kutokana na mkataba wa mwaka 2011 na kueleza kuwa hakuweza kufikia makubaliano waliyopewa na mahakama.

Hata hivyo mauzo ya Smartphone katika kampuni ya Samsung yameongezeka kwa kasi kubwa tangu mkataba huo usainiwe ambapo kampuni hiyo imesafirisha kutoka simu milioni 82 za Android kwa mwaka 2011 hadi kufikia milioni 314 miaka mitatu baadae.

Baada ya Microsoft kuweka makubaliano ya kununua biashara ya Smartphone kutoka kwa Nokia, kampuni ya Samsung ilisitisha matumizi ya leseni ya pamoja iliyotolewa licha ya kuwa mshirika wa muda mrefu wa Microsoft kwa kutengeneza vifaa vya kompyuta kwa kutumia kampuni ya software ya Marekani.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s