KICHUPA KIPYA : DAYNA NYANGE – I DO [Officia Music Video]

Dayna NyangeDayna Nyange amekubali kuishi maisha ya shida na raha na mpenzi wake  aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka 2013, Ammy Nando na hivyo kufikia hatua ya kuvalishana pete ya uchumba, stori hiyo unaipata kwenye video mpya ya staa huyo wa nivute kwako inayoitwa I DO iliyofanywa na Kwetu Studio huku upande wa Audio ukimuhusisha producer Triss wa Conga Music. Itupie Jicho Hapo Chini

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s