BRANDY AFUNGUKA : UJAUZITO ULINIFANYA NISEME UONGO JUU NDOA YANGU

Brandy & OprahMwanamuziki maarufu wa miondoko ya R n B wa nchini Marekani, Brandy ameomba radhi hadharani wakati wa mahojiano na staa wa vipindi vya Televisheni, Oprah Winfrey kwa kudanganya juu ya mahusiano ya ndoa na mpenzi wake aitwaye Robert Smith mwaka 1995.

Katika mahojiano hayo na Oprah Winfrey kwenye kipindi kilichopewa jina la Where Are They Now?  Brandy amebainisha kuwa alipata msukumo wa kusema uongo kuwa ameolewa kwa sababu alikuwa na ujauzito aliopata nje ya ndoa na hivyo hakutaka kuonyesha taswira mbaya katika jamii.

Miaka ya hivi karibuni hitmaker huyo wa  The Boy is Mine amekiri kuwa uhusiano wake na mtayarishaji wa muziki, Robert Smith haukuwa mzuri na alitumia nafasi hiyo kujilinda kutokana na kwamba alikuwa akitarajia kupata mtoto nje ya ndoa na kuamua kujisafisha

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s