WATU 17 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA KAMPUNI YA MORO BEST KUGONGANA USO KWA USO NA LORI

Basi la abiria mali ya kampuni ya Moro Best linalofanya safari zake Dar – Dodoma limepata ajali mbaya  baada ya kugongana uso kwa uso na lori la mizigo eneo la Pandambili nje ya kidogo ya mji wa Dodoma na kupelekea vifo vya watu 17 na wengine kujeruhiwa.

10413313_1453531354913194_4014333296770415173_n

Wasamaria wema wakitoa miili ya watu iliyonasa kwenye basi la Moro Best

IMG-20140730-WA0008

Miili ya abiria baada ya kutolewa nje ya basi

1743598_1453532461579750_2101651277506898385_n

Umati wa watu na wakazi wa kijiji cha Pandambili wakishuhudia majeruhi na miili ya abiria ikitolewa

 

 

Advertisements

One thought on “WATU 17 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA KAMPUNI YA MORO BEST KUGONGANA USO KWA USO NA LORI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s