DIAMOND PLATNUMZ APOKELEWA NA MSURURU WA MASHABIKI

DPMbongo Fleva anayesumbua katika medani ya muziki barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amepokelewa kwa shangwe za hatari na msururu wa mashabiki wa muziki wake hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa magari mara  baada ya kutua nchini akitokea Marekani alipokwenda kuhudhuria utoaji wa Tuzo za AFRIMMA ambapo kwa mara ya kwanza ameweza kunyakua Tuzo ya msanii bora wa kiume kutoka Afrika Mashariki sambamba na Lady Jaydee aliyetwaa Tuzo ya msanii wa kike bora. Tazama picha zaidi za mapokezi hapo chini

Diamond Wasafi  driving licence 2 001 Nyomi Diamond Platnumz Rais wa wasafi

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s