DAVIDO NA WIZKID WATOLEANA MANENO MBOVU MBOVU MTANDAONI

Davido na WizkidUshindani wa kimuziki uliopo baina ya vichwa viwili vinavyoutendea haki muziki wa Nigeria, Wizkid na Davido umeonekana kuinga dosari baada ya Wizkid kuandika ujumbe kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter uliotafsiriwa kama dongo kwa staa wa Aye ambaye hakubaki kimya na kuamua kujibu mapigo.

Wizkid alianza kwa kuandika “Thank you so much New York!!! Amazing show last night. Big up @wale and @akon for showing me love. Proper show. Proper venue. Boys talk. Men walk!” .Haikupita muda Davido akajibu  ”Pull half my crowd before talking sh*t. Looser!”. Wizkid akatupa dongo jingine “I already killed NY!! London 26th September!! Manchester 28th September!! Big surprise. Still proper shows! Proper venues!!!”.

Huu huenda ukawa ni mwanzo wa bifu la wazi baina ya Davido na Wizkid ambao kwa kipindi kirefu mashabiki na wapenzi wa burudani wamekuwa wakiwapambanisha huku kila mmoja akijigamba kuwa ni bora.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s