WIZKID AGONGA KOLABO NA RIHANNA

Wizkid na RihannaStaa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkid amethibitisha  kufanya kolabo na Rihanna baada ya kuzungumza kwa njia ya simu na kituo cha The beat 99.9 fm na hivyo kuwataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kusubiria ujio wake mpya anaotarajia kuuachia hivi karibuni.

Wizkid mwenye  miaka 24 ameweza kujipatia umaarufu mkubwa katika kipindi kifupi kupitia ngoma zake  kadhaa zilizowahi kubamba ikiwemo Holla at your boy, Don’t Dull, Love My Baby, Azonto, Pakurumo na nyingine kibao.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s