HUSSEIN MACHOZI AKAMATWA UGONI NA MKE WA MWANASIASA MAARUFU KENYA

Hussein MachoziMsanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Hussein machozi amekamatwa ugoni akiwa na mke wa mwanasiasa mmoja maarufu  wa mjini Mombasa nchini Kenya.

Taarifa zinasema kwamba Hussein Machozi alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na mwanamke huyo hali iliyopelekea mwenye mali atilie shaka ukaribu wao na kuamua kumtegea mtego ulioweza kuzaa matunda na kufanikiwa kuwafumania wakivunja amri ya sita.

Chanzo kingine cha habari kimesema kuwa ukaribu wa wawili hao ulichangiwa kwa kiasi kikubwa hasa kutokana na mwanasiasa huyo kuwa na safari za mara kwa mara nje ya nchi.

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

2 thoughts on “HUSSEIN MACHOZI AKAMATWA UGONI NA MKE WA MWANASIASA MAARUFU KENYA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s